Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Chadema, John Mnyika ambaye amedai,
“Waraka utakaotumika katika mashtaka yao siyo huo. Sisi tutautumia ule
ambao uliwasilishwa katika Kamati Kuu ambao una mambo makubwa na mengi
zaidi kuliko huo unaochapishwa sehemu mbalimbali, ikibidi tutautoa huo
waraka halisi,” alisema. Picha na Maktaba
Waraka wa Chadema utata mtupu
Written By Unknown on Ijumaa, 29 Novemba 2013 | 13:21

Labels:
siasa