Home » » DEVELOPMENT CHANGE AND VIEWS IN KIGOMA TOWN

DEVELOPMENT CHANGE AND VIEWS IN KIGOMA TOWN

Written By Unknown on Alhamisi, 21 Novemba 2013 | 01:23


As we know Kigoma is one of Tanzania regions which are getting development slowly, but nowadays there are lot of changes, these changes are in Mind and environmentally, for those who went to Kigoma long time ago definitely you will be surprised to observe changes 

Let us go through below pictures


NHC BUILDING IN KIGOMA TOWN
Moja ya majengo ya Shirika la Nyumba Tanzania, jengo hili linatumiwa na taasisi na mashirika mbalimbali ikiwemo Benki ya CRDB

KIGOMA RAILWAY ROAD TO UJIJI
Barabara kuu ya Kigoma -Ujiji , kushoto ni nyumba za makazi na biashara, miongoni mwa nyumba hizo ni za shirika la nyumba na nyingine ni za watu binafsi

TANZANIA REVENUE AUTHORITY, REGIONAL OFFICE
Jengo la mamlaka ya Mapato TRA mkoa wa Kigoma

KIGOMA TOWN BUS TERMINAL
Kituo cha Daladala Kigoma mjini, ni kituo cha Kisasa na cha Kipekee ambapo abiria kutoka Pande zote za Mji wa Kigoma hupata usafiri wa kwenda maeneo mbalimbali ndani ya manspaa ya Kigoma Ujiji


KIGOMA RAILWAY STATION aka Mwanzo wa Reli


TANZANIA POSTAL BANK IN KIGOMA, IN TRA HOUSE

Share this article :
 
Shukrani kwa : Harold Dickson | Prosper Kwigize | 0752490120
Copyright © 2013. KWIGIZE NEWS AND COMMUNICATION - Haki zote zimeifadhiwa
Email us: kwigizenews@gmail.com
0764243377