Home » » IOM YATOA VYETI KWA WAANDISHI MKOANI KIGOMA

IOM YATOA VYETI KWA WAANDISHI MKOANI KIGOMA

Written By Unknown on Alhamisi, 28 Novemba 2013 | 10:46


Wanahabari mkoani Kigoma wametunukiwa vyeti na shirika la kimataifa la uhamiaji IOM kama sehemu ya kutambua mchango wao katika kuandika habari zinazohusu wahamiaji na wakimbizi nchini Tanzania

Akikabidhi vyeti hivyo, afisa wa UNHCR Dar es salaam Bw. Nicholas Gishubiri amewataka wanahabari mkoani Kigoma kujikita katika kuhabarisha jamii ukweli na uharisia wa habari za wahamiaji na wakimbizi bila kuwadharirisha


Bw. Prosper Kwigize akikabidhiwa cheti na mwakilishi wa UNHCR
 Bw. Nicholas Gishubiri baada ya kuhitimu mafunzo ya kuandika
habari za Wahamiaji na Wakimbizi
Miongoni mwa waliopata vyeti hivyo ni mkurugenzi wa kampuni ya Kwigize News and Communication Bw. Prosper Kwigize ambaye pia ni mwakilishi wa shirika la utangazaji la afrika kusini SABC-Channel Africa
Share this article :
 
Shukrani kwa : Harold Dickson | Prosper Kwigize | 0752490120
Copyright © 2013. KWIGIZE NEWS AND COMMUNICATION - Haki zote zimeifadhiwa
Email us: kwigizenews@gmail.com
0764243377