Home » » ASUBUHI NA JIONI KIGAMBONI

ASUBUHI NA JIONI KIGAMBONI

Written By Unknown on Alhamisi, 9 Januari 2014 | 07:23


Maisha ni namna mtu anavyofikiri, kuamua na kutenda, wataalamu wanasema maina ni namna unayoamua mwenyewe kuishi



Hata hivyo mazingira ya kiafrika yamekuwa na maamzi makubwa katika maisha yetu wakati furani tunalazimishwa kuishi kinyume na tunavyofikiri, kuamua na kutenda, kutokana na shinikizo la mazingira



pichani hapo juu ni wakazi wa kigamboni ambao kila uchao na kila jioni kulazimika kupanga mstari na kujazana katika vivuko vya MV KIGAMBONI na MV MAGOGONI kuingia katikati ya jiji na kuondoka jioni kuelekea makwao upande wa pili wa bahari ya hindi.




angalia picha hizi na kisha toa maoni
Share this article :
 
Shukrani kwa : Harold Dickson | Prosper Kwigize | 0752490120
Copyright © 2013. KWIGIZE NEWS AND COMMUNICATION - Haki zote zimeifadhiwa
Email us: kwigizenews@gmail.com
0764243377