Mhe. Felix Mkosamali Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Kibondo |
Kwa mujibu wa Polisi mkoani Dodoma Mkosamali amepata ajali katika wilaya ya Bahi baada ya gari lake kuligonga kwa nyuma roli lililokuwa limeegesha pembeni ya barabara
Kwa mujubu wa taarifa hizo, watu watatu waliokuwemo ndani ya gari la Mbunge huyo wamejeruhiwa
inaelezwa kuwa chanzi cha ajali hiyo ni uzembe wa dreva wa gari la Mbunge huyo ambaye alishindwa kufuata alama za barabarani na kuwa katika mwenzo mkali uliosababisha ashindwe kulimudu gari hilo.