HABARI MPYA
blink
06:32
Li Lianjie (amezaliwa tar. 26 Aprili 1963) ni mshindi wa Tuzo za Filamu za Hong Kongo, akiwa kama mwigizaji bora filamu wa Kichina. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Jet Li. Jet Li ni mtaalam wa Kung Fu na Wushu. Baada ya miaka mitatu ya mafunzo ya Wushu, Jet Li alipata ushindi wake wa kwanza katika mashindano ya kitaifa ya vikosi vya Wushu kwa mji wa Beijing.
Akiwa na umri wa miaka 17, Jet Li aliachana na masuala ya Uwushu na badala yake akaja kuwa mwigizaji wa filamu na akabahatika kutoa filamu yake kwanza mnamo mwaka wa 1982 na filamu ilikwenda kwa jina la Shaolin Temple.
Badala ya hapo akawa anaendelea zaidi na maswala ya filamu na hata kuweza kujulikana katika medani hiyo ya uigizaji wa filamu katika China. Akaja kujipatia umaarufu zaidi pale alipocheza katika mfululizo wa filamu za Once Upon a Time in China, ambamo humo alikuwa akicheza kama shujaa wa kiasili - Wong Fei Hung.
Kwa upande wa Marekani, Jet Li alianza kucheza kama adui katika filamu ya Lethal Weapon 4 kunako mwaka wa 1998, na kwa upande wa filamu alizocheza Marekani kwa mara ya kwanza na kuwa kama nyota kiongozi ilikuwa katika Romeo Must Die ya mwaka wa 2000.
TANZAMA MOVIE ZAKE HAPA
BURUANI KATIKA FILAMU- MFAHAMU JET LI
Written By Unknown on Alhamisi, 24 Aprili 2014 | 06:32
Jet Li |
Labels:
burudani na sanaa
05:02
chanzo: youtube: Husein Hassan
HOTUBA ZA VIONGOZI KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA MPYA NCHINI TANZANIA NI MOJA YA MAMBO MUHIMU YANAYOTAKIWA KUSIKILIZWA NA WAJUMBE WAJIPE MUDA NA NAFASI YA KUTAFAKARI.
HII NI KUTOKANA NAUKWELI KWAMBA KUMEKUWA NA MIVUTANO KUTOKA KWA MAKUNDI YANAYOKINZANA KIFIKIRA, KIMLENGO NA KIMTAZAMO BILA KUSAHAU ITIKATI ZA KISIASA
KWA KUTAMBUA HAYO UKURASA HUU UNAKULETEA HOTUBA HIZO
Chanzo: MCL
HOTUBA YA RAIS KIKWETE NA JAJI WARIOBA -BUNGE LA KATIBA
Written By Unknown on Jumatatu, 21 Aprili 2014 | 05:02
chanzo: youtube: Husein Hassan
HOTUBA ZA VIONGOZI KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA MPYA NCHINI TANZANIA NI MOJA YA MAMBO MUHIMU YANAYOTAKIWA KUSIKILIZWA NA WAJUMBE WAJIPE MUDA NA NAFASI YA KUTAFAKARI.
HII NI KUTOKANA NAUKWELI KWAMBA KUMEKUWA NA MIVUTANO KUTOKA KWA MAKUNDI YANAYOKINZANA KIFIKIRA, KIMLENGO NA KIMTAZAMO BILA KUSAHAU ITIKATI ZA KISIASA
KWA KUTAMBUA HAYO UKURASA HUU UNAKULETEA HOTUBA HIZO
Labels:
siasa
06:55
WEMA SEPETU KUMVAA MRISHO NGASA LEO UWANJA WA TAIFA
Written By Unknown on Jumamosi, 19 Aprili 2014 | 06:55
http://kwigizenews.blogspot.nl/2014/04/wema-sepetu-kumvaa-mrisho-ngasa-leo.html
Katika hali inayovuta hisia za wengi, leo msanii maarufu ambaye
pia amewahi kuwa miss Tanzania ametangaza kumfuata Mchezaji maarufu anayetajwa
kuhama timu za Bongo kuliko wengine Mrisho Ngasa uwajani
Akiongea na vyombo vya habari Wema ametaja kuwa hana tabia ya
kwenda kutazama mechi lakini leo atashuhudia mtanange baiana ya Simba na yanga
ili baada ya mechi akutane na ngasa na kudai deni lake
Waswahili wanasema, “Ahadi ni Deni”, Wema anataja kuwa anamdai
Ngassa ahadi ya mpira.
Labels:
Vituko
06:38
TAJIRI ATOA MABILIONI KUDHIBITI SILAHA
Written By Unknown on Jumatano, 16 Aprili 2014 | 06:38
Meya
mstaafu wa Jiji la New York City nchini Marekani Michael Bloomberg ametangaza
kutoa dola milioni 50 mwaka huu kwa ajili ya kujanga mtandao wa kupunguza kuzagaa na matumizi ya silaha
katika uharifu
Mkakati huo
mpya ameutangaza katika gazeti la The New York Times, fedha hizo zitatumika katika kuhakiki
kwa kina biashara ya silaha katika serikali na nchi kwa ujumla
Amesisitiza
kuwa kipaumbele katika uhakiki na udhibiti wa silaha kitaelekezwa kwa wanawake
katika mpango mkakati wa nje wa udhibiti wa silaha, na kwamba taasisi
mbalimbali zitahusika
Imeelezwa kuwa mkakati huo utawavutia
zaidi ya waungaji mkono milioni mbili na laki tano kuchangia
Soma zaidi
hapa
13:22
Je! marumbano yanayoendelea Bungeni ya juu ya mfumo wa Muungano na idadi ya serikali yanalenga kuwezesha vyama vya upinzani kushinda na kutawala Tanganyika?
Na je Bunge kutekwa na Muungano na idadi ya serikali, Je rasimu ya pili ya Katiba haina hoja nyingine zaidi ya hizo?
Tafadhari piga kura yako, chagua jibu upendalo katika hukurasa huu sehemu ya chini kulia
HOJA YA MUUNGANO NA IDADI YA SERIKALI TANZANIA
Written By Unknown on Jumanne, 15 Aprili 2014 | 13:22
Je! marumbano yanayoendelea Bungeni ya juu ya mfumo wa Muungano na idadi ya serikali yanalenga kuwezesha vyama vya upinzani kushinda na kutawala Tanganyika?
Na je Bunge kutekwa na Muungano na idadi ya serikali, Je rasimu ya pili ya Katiba haina hoja nyingine zaidi ya hizo?
Tafadhari piga kura yako, chagua jibu upendalo katika hukurasa huu sehemu ya chini kulia
Labels:
News in picture,
Tangaza
09:28
KWIGIZE NEWS .COM Tunatoa pole kwa wanafamilia ya mwanamuziki nguli wa Tanzania marehemu Mzee Maalim Ngurumo kilichotokea jana katika Hospitali ya Taifa mhimbili alikokuwa amelazwa. kwa kumuenzi blog yetu imeweka wimbo (mtanikumbuka) ambao waliutunga na kuimba pamoja na Marehemu TX Moshi, hii ni moja ya kutoa pole kwa Watanzania. bonyeza hapa kutazama video
TUNATOA POLE KWA WATANZANIA KWA KIFO CHA MZEE NGURUMO
Written By Unknown on Jumatatu, 14 Aprili 2014 | 09:28
Mzee Ngurumo enzi za uhai wake akipokea ufuguo wa Gari kutoka kwa Manamuziki Diamond mara alipotangaza kustaafu muziki na kuhitaji misaada kutoka kwa waungwana ili kumudu maisha. |
KWIGIZE NEWS .COM Tunatoa pole kwa wanafamilia ya mwanamuziki nguli wa Tanzania marehemu Mzee Maalim Ngurumo kilichotokea jana katika Hospitali ya Taifa mhimbili alikokuwa amelazwa. kwa kumuenzi blog yetu imeweka wimbo (mtanikumbuka) ambao waliutunga na kuimba pamoja na Marehemu TX Moshi, hii ni moja ya kutoa pole kwa Watanzania. bonyeza hapa kutazama video
Labels:
News in picture
06:40
Ndugu Wanahabari,
Assalam Aleykum
Kama mnavyojua kwamba kumetokea tukio la kusikitisha la kuvunjwa kwa Makaburi ya Masheikh Wetu, wapendwa wetu, wazazi wetu na viongozi wetu wa Dini ya Kiisalam, Marehemu Sheikh Yahya Hussein Na Marehemu Sheikh Kassim Bin Juma, Usiku wa kuamkia tarehe 10/4/2012 katika viwanja vya Makaburi ya Tambaza Jirani na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Tukio hili, licha ya kusikitisha lakini limeziingizia fedheha Familia hizi mbili za Masheikh Hawa na Kwa Waisalamu kwa Jumla. Kwa Desturi na Sheria, Viwanja vya Makaburi ni mahala panapotakiwa Kuheshimiwa kutokana na ukweli kwamba ni moja wapo ya sehemu za Ibada.
Hivyo basi kutokana na Tukio hilo ni dhahiri kwamba waliofanya kitendo hicho wamekiuka mafundisho ya Dini ya Kiislamu na hivyo kutenda kosa ambalo kiimani linaweza kusababisha Madhara Makubwa kwao wenyewe, Jamii na Taifa kwa Jumla.
Kwa muktadha huo basi Familia ya Marhum Sheikh Yahya Hussein imeumizwa kwa kiwango cha juu na tukio hilo hasa ikizingatiwa kuwa Makaburi yaliyovunjwa ni la baba yetu na la aliyekuwa swahiba wake mkubwa Mzee wetu Sheikh Kassim Bin Juma Pekee.
Hali hii inaonyesha kwamba kuna Chuki Binafsi, Udhalilishaji na Njama za Kuhujumu familia yetu, Dini yetu na Waislamu kwa Jumla na hivyo kitendo cha aina hii kinaweza kuliingiza Taifa katika migogoro isiyo na Tija, kidini, Kisiasa, kiuchumi na kimaendeleo ya Jamii.
Hata hivyo Familia ya Marhum Sheikh Yahya Hussein imefarijika kuona uongozi wa Serikali ya Mkoa wa Dar es salaam Pamoja na Baraza Kuu La Waisalamu wa Tanzania (BAKWATA) chini ya Mufti wa Tanzania Sheikh Mkuu Issa Bin Shaaban Simba kulishughulikia kwa haraka suala hili katika mawanda ya kuthamini, Mila, Desturi na Ibada za Makaburi.
Hatua hiyo inaonyesha ni jinsi gani Jamii nzima ilivyoguswa na kadhia hiyo ambayo inahatarisha Usalama wa Nchi na raia kwa sababu Waumini na wananchi wengine ambao ni wapenzi wa Viongozi hao wa Kidini wanaweza, kutokana imani zao, kujichukulia sheria mikononi.
Hata hivyo uongozi wa Serikali Mkoa wa Dar es salaam na vyombo vyake bado unatakiwa kuwa makini katika maagizo yake na utekelezaji wa kazi zake hasa katika sehemu ambazo zinagusa hisia za watu kama Makaburi na sehemu za Ibada ili kuepuka matukio yenye sura ya Hujuma kama tukio hilo la makaburi ya Tambaza ambayo yanaweza kuleta mtafaruku ndani ya jamii na kuvunjika Amani ya nchi.
Sisi kama Familia Ya marehemu Sheikh Yahya Hussein tunaiomba Serikali na vyombo vyake iwasake na kuwachukulia hatua kali za kisheria wale wote waliohusika na hujuma hizi.
Pamoja na hayo familia inaona kwamba dawa ya kuepukana na matatizo kama haya ni kujenga uzio katika eneo hilo ili kuhifadhi Makaburi hayo. Kwa hiyo tunaiomba Manispaa ya Wilaya ya Ilala ijenge uzio katika eneo la Makaburi ya Tambaza.
Kwa upande wetu, pamoja na nia nzuri ambayo Serikali imeonyesha ya kutaka kuyajenga tena Makaburi hayo, lakini sisi kama Familia ya Sheikh Yahya Hussein na Sheikh Kassim Bin Juma tumeamua kwamba tutajenga Makaburi ya wazazi wetu kwa gharama zetu wenyewe.
Wabillahi Tawfiq
Alhajj Maalim Hassan Yahya Hussein
( Kwa niaba ya Familia )
KABURI LA SHEIKH YAHAYA (MTABIRI MAARUFU) LAVUNJWA
Written By Unknown on Jumamosi, 12 Aprili 2014 | 06:40
Marehemu Sheikh Yahya enzi za Uhai wake. |

Vituko duniani
06:12
SHILOLE alimaarufu mama wa viono amefanya mambo mazito katika video ya Queen iliyotoka, hebu jionee vitu vya walembo hawa wa kitanzania wanaowika katika anga la muziki afrika mashariki
Bofya hapa Queen na Shilole
Kazi hii inakuja huku kukiwa na ushindani mkubwa baina yao na Sinura ambaye hivi karibuni ametamba kuwapiga bao kwa mashairi na matumizi bora ya kiuno jukwaani
QUEEN DERLEEN NA SHILOLE WAFANYA MAMBO

01:43
MUZIKI WA MSANII DIAMOND NA MAUDHUI YAKINIFU
Muziki ni moja kati ya sanaa muhimu sana ambazo zimekuwa
kivutio katika burudani miongoni mwa jamii ndani na nje ya Tanzania.
Muziki umekuwa pia ukitumika katika kuibua mjadala, kuchochea
maendeleo pamoja na kueneza habari Fulani kwa jamii.
Wanasiasa pia wamekuwa wakiwatumia wasanii katika kueneza
sifa zao na propaganda za vyama vyao ili kushawishi wananchi kuzikubali sera
zao na kuwachangua katika nafasi wanazoomba.
Nchini Tanzania muziki umekuwa ukibadilika siku hadi siku
ukihama kutoka katika ushairi wa kawaida wa kuelimisha jamii na kuhamia katika
mapenzi zaidi, baadhi ya wasanii huimba mapenzi tu na wengine huchanganya
mapenzi na masuala mengine ya kijamii.
Wasanii wengine huimba tu ilimradi waamshe hisia za kucheza
hata kama wimu unaoimbwa hauna maudhui yoyote zaidi ya kukolezwa na vyombo vya
kisasa vya kutengeneza milindimo na vionjo vitamu.
Katika makala haya nimevinjali baadhi ya nyimbo za Diamond
kutoka Tanzania na kupata hoja ya kukueleza.
Wasanii kote Tanzania wameaminishwa na wapenzi wao
(wasikilizaji na watazamaji wa muziki) na sasa wanadhani nyimbo nzuri ni ile
inayoimba mapenzi na kutonesha ama kidonda cha penzi au kuanzisha hisia mpya ya
mapenzi.
Ni kwa sababu hiyo wengi wao wamekuwa wakitunga na wakiimba nyimbo za mapenzi tu, na
kwa bahati mbaya wanasahau mambo mengine ya kijamii.
Diamond katika wimbo wake wa Mbagala, alifanya muziki wenye
muonekano na vionjo vya mapenzi lakini ndani yake kuna jambo muhimu sana la
kijamii, ambalo nina hakika ndilo linabeba maudhui yote ya wimbo wake.
Diamond anamkosa mrembo aliye mpenda sana kwa sababu
mazingira anapoishi ni machafu na hatari kwa afya za wakazi wa maeneo ya
Mbagala
Angalia video hii na utume maoni yako bofya hapo kwenye neno mbagala uone kisha tutumie maoni yako kuhusu wimbo huo na maudhui yake, anuani yetu ni plen.media@gmail.com
Labels:
michezo
06:48
Kwa waandishi wa habari wanaopenda kuongeza elimu na ujuzi zaidi, Kituocha mafunzo cha radio Netherlands Training Center kimetangaza nafasii za kutosha kwa taaluma mablimbali, wahi na wanatoa ufadhili
tembelea mtandao huu MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI ULAYA
NAFASI YA MASOMO ULAYA KWA WAANDISHI WA HABARI
Written By Unknown on Jumanne, 1 Aprili 2014 | 06:48