Meya
mstaafu wa Jiji la New York City nchini Marekani Michael Bloomberg ametangaza
kutoa dola milioni 50 mwaka huu kwa ajili ya kujanga mtandao wa kupunguza kuzagaa na matumizi ya silaha
katika uharifu
Mkakati huo
mpya ameutangaza katika gazeti la The New York Times, fedha hizo zitatumika katika kuhakiki
kwa kina biashara ya silaha katika serikali na nchi kwa ujumla
Amesisitiza
kuwa kipaumbele katika uhakiki na udhibiti wa silaha kitaelekezwa kwa wanawake
katika mpango mkakati wa nje wa udhibiti wa silaha, na kwamba taasisi
mbalimbali zitahusika
Imeelezwa kuwa mkakati huo utawavutia
zaidi ya waungaji mkono milioni mbili na laki tano kuchangia
Soma zaidi
hapa