Home »
News in picture
» MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA WATOA MSAADA
MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA WATOA MSAADA
Written By Unknown on Alhamisi, 21 Novemba 2013 | 05:13
Bi, Lydia Choma Mjumbe wa Bodi ya wakurugenzi wa NHIF akikabidhi msaada wa mashuka kwa mkuu wa Mkoa wa Manyara ili zitumike katika vituo mbalimbali vya utoaji wa huduma za afya Mkoani Manyara
Msaada kama huo umetolewa hivi karibuni baada ya kongamano kama hilo kufanyika mkoani Singida, Dodoma, Tanga na Manyara
Related Articles
- ZITTO KABWE ASISITIZA HANG'OKI CHADEMA, ASHUTUMU SLAA NA MBOWE KWA UBABAISHAJI
- MEDIA COUNCIL SEASON GREETINGS TO ALL M C T MEMBERS
- IJUE AZAM TV, INAYOTOA HUDUMA YA KISASA NA KUMUWEZESHA MTUMIAJI KUREKODI MATANGAZO
- DEVELOPMENT CHANGE AND VIEWS IN KIGOMA TOWN
- KIGOMA KAMA SHANGHAI CHINA
- HOJA YA MUUNGANO NA IDADI YA SERIKALI TANZANIA
Labels:
News in picture
Chapisha Maoni