Mmoja
wa wandaaji wa show hiyo aitwaye Ben, amewahakikishia wakazi wa jiji
hilo kuwa show hiyo itakayofanyika eneo la ufukweni (Charcoal Ribs)
itakuwa ya ubora wa hali ya juu.
Jose Chameleone kutumbuiza jijini Mwanza December 24.
Written By Unknown on Ijumaa, 29 Novemba 2013 | 12:48
Labels:
News