“Tuhuma zinazotolewa dhidi ya Zitto na wenzake kwamba wamenunuliwa na
chama fulani cha siasa zinahitaji maelezo na vielelezo vya kina ili
kuwaaminisha wengi. Nasema hivi kwa sababu historia yao inadhihirisha
kuwa wana uchungu na chama chao. Chama kinachoongozwa kwa demokrasia na
kinachotarajiwa kushika madaraka ya kuongoza nchi, lazima kionyeshe
uwezo mkubwa wa kuvumiliana, kutafakari, kusamehe, kuaminiana na kujenga
umoja wenye lengo la kuelekea kusudio lake.”
Baregu
Baregu aitahadharisha Chadema kuhusu Zitto
Written By Unknown on Ijumaa, 29 Novemba 2013 | 13:19
Related Articles
- HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, AKIFUNGUA RASMI BUNGE JIPYA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA, 20 NOVEMBA 2015
- KIONGOZI WA CHADEMA ASHAMBULIWA NA KUJERUHIWA KIGOMA
- HOTUBA YA RAIS KIKWETE NA JAJI WARIOBA -BUNGE LA KATIBA
- BUNGENI HALI BADO TETE MMAMUZI YA SERIKALI NGAPI - VIDEO HAPA
- HOTUBA YA RAIS KIKWETE AKIZINDUA BUNGE LA KATIBA - DODOMA
- MADAI YA POSHO BUNGE LA KATIBA YAKONGA MWAMBA
Labels:
siasa
Chapisha Maoni