HABARI MPYA
blink

KILIMANJARO STARS YAIFINYA SOMALIA BAO MOJA

Written By Unknown on Jumapili, 1 Desemba 2013 | 11:26

Timu ya taifa ya Tanzania Bara leo imejitoa kimasomaso baada ya kuichapa bao moja timu ya taifa ya Somalia katika mashindano ya Challenge yanayoendelea nchini Kenya

Ushindi huo umepatikana siku chache baada ya kutoka sare ya bao moja kwa moja chidi ya miamba ya Chipolopoli, timu ya taifa ya Zambia juzi

Wafuatiliaji wa mambo wanakiri kuwa endapo mwalimu wa Kilimanjaro stars atasikilizana vema na wachezaji wake, upo uwezekano wa Tanzania kutinga Fainali

Zambia nayo kwa upande wake imeichapa Burundi kwa bao moja kwa sifuri kama ilivyokuwa kwa tanzania na kujipatia alama (point) 3 na hivyo kufikisha point 4


Pope calls for peace and marks World AIDS Day

Pope Francis marked World Aids Day, calling for an access to cure and medication for everyone.(SABC)

Pope Francis appealed for world peace and expressed his closeness to those suffering from HIV/AIDS in an address to a large crowd in St. Peter's Square in the Vatican on Sunday.

The crowds cheered and waved as Pope Francis appeared in the window of the papal apartments overlooking the square.

In his remarks ahead of his weekly Angelus prayer, Francis cited Prophet Isaiah's words "and they shall beat their swords into plowshares, and their spears into pruning hooks; nation shall not lift up sword, against nation, neither shall they learn war any more ".

He then went off script as he mused over the possibility of peace in the world.

"When will this happen? What a beautiful day it will be when weapons will be dismantled and transformed into instruments for work," he said.

"What a beautiful day that will be and it is possible. Let's bet on hope, the hope for peace and it will be possible."
The pope also marked World Aids Day, calling for an access to cure and medication for everyone.

"Today marks the World Day for the fight against HIV / AIDS. Let us express our closeness to the people who are affected, especially children, a closeness that is very real in the silent commitment of many missionaries and workers. Let us pray for everyone, including the doctors and the researchers. May every sick person, without exceptions, have access to the care they need."

Francis, gearing up for his first Christmas as pope, is due to visit the Roman parish of San Cirillo Alessandrino on Sunday evening where he will conduct mass. 


BREAKING NEWS......TRAIN CRASH IN NEW YORK USA TODAY


A train derailed in New York’s Bronx borough early today, killing four and injuring 63, a spokesman for the New York City fire department said.

The accident took place in the Riverdale section of the Bronx, said New York City fire department spokesman said. The department first learned of the accident via a 911 emergency call that came in at 7.20am from the scene, he said.

At least five of the seven passenger cars that were being pushed by a diesel locomotive derailed.

The US National Transportation Safety Board is sending a team to the scene that should arrive around noon local time, a spokeswoman.

The safety board already has two open investigations of Metro-North accidents that happened earlier this year.
The crash happened in a curving section of track near where the Hudson and Harlem rivers meet but none of the derailed cars were submerged in water.

The derailment adds to Metro-North accidents this year. Two Metro-North trains collided near Bridgeport, Connecticut on May 17th, injuring dozens of passengers and leading to a National Transportation Safety Board investigation.

The board also probed a rail worker death on the railroad 11 days later. “We’ll be looking for any similarities between this one and the one in Bridgeport,” Nantel said.

NTSB member Earl Weener will lead the investigation of today’s crash. Spuyten Duyvil senator Richard Blumenthal, a Connecticut Democrat, has said the earlier accidents show rail safety needs more money and attention.

Today’s derailment happened about 100 feet north of the Spuyten Duyvil station, which the southbound express train had passed. It left Poughkeepsie, New York, at 5.54am and was due to arrive at Grand Central Station at 7.43am.
Service on Metro-North’s Hudson Line has suspended in both directions between Croton-Harmon station and Grand Central Terminal.



CECAFA SENIOR CHALLENGE CUP 2013 FIXTURE








Rwandan giants, APR will confront Sudanese side, El Merreikh in the semi-finals of the ongoing of the Cecafa Kagame Cup in Sudan’s Darfur region.
El Merreikk booked their place in the last four after coming from behind to hold compatriots, Al Ahly Shandy 1-1 before prevailing 3-2 on post-match penalties at El Fasher.
- See more at: http://www.the-star.co.ke/news/article-126120/apr-confront-home-team-el-merreikh-cecafa-cup-semifinals#sthash.hqb020uH.dpuf
Rwandan giants, APR will confront Sudanese side, El Merreikh in the semi-finals of the ongoing of the Cecafa Kagame Cup in Sudan’s Darfur region.
El Merreikk booked their place in the last four after coming from behind to hold compatriots, Al Ahly Shandy 1-1 before prevailing 3-2 on post-match penalties at El Fasher.
- See more at: http://www.the-star.co.ke/news/article-126120/apr-confront-home-team-el-merreikh-cecafa-cup-semifinals#sthash.hqb020uH.dpuf

CCM YAFUNGUA MAKUCHA KWA WATENDAJI WA SERIKALI


Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, Dk Charles Mkambachepa juzi alionja joto la jiwe baada ya Katibu Mkuu wa CCM,  Abdulrahaman Kinana kumtaka arudishe haraka Sh209 milioni za Saccos ya Chama cha Walimu zilizochukuliwa na halmashauri hiyo katika mazingira ya kutatanisha kuanzia Mei mwaka huu.
Hali hiyo ilijitokeza juzi jioni wakati Kinana alipozungumza na baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi hususan walimu.
Dk Mkambachepa alilazimika kutamka wazi kwamba atahakikisha anawalipa fedha zote ifikapo mwishoni mwa Januari mwaka ujao na kwamba juzi hiyo aliwalipa zaidi ya Sh32 milioni kupunguza deni hilo.
Awali Kinana alipokea taarifa ya malalamiko lukuki ya walimu yakiwamo ya madai ya zaidi ya Sh1 bilioni na pia halmashauri kuchukua Sh209 milioni za makato ya walimu kwa ajili ya kurudisha mikopo ya Saccos.
Walimu walidai halmashauri hiyo chini ya Mkurugenzi mstaafu Edson Chelewa ilichukua fedha hizo ikidai zinatumika katika masuala ya kumpokea Rais Jakaya Kikwete kwenye sherehe za Mei Mosi zilizofanyika kitaifa mkoani Mbeya.
Kutokana na kauli hiyo, Katibu Mkuu wa CCM alisema huo ni uzushi wa hali ya juu na kuitaka halmashauri hiyo kuacha mara moja tabia ya kuwaonea walimu kwa kusingizia viongozi mambo mabaya ya fitina.

“Kuanzia sasa CCM imeamua kuingia kati kufuatilia matatizo ya walimu yakiwamo madai yao na kwa kweli itahakikisha yanalipwa” alisema.
Awali akihutubia mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Baraza la Kata, Kinana aliwasihi Watanzania kuendelea kuiamini Serikali ya CCM akisisitiza inalenga kuwatetea wanyonge na kuboresha maisha.


WAKULIMA MOROGORO WAREJESHEWA ARDHI YAO

Mkuu wa mkoa wa Morogoro ndg. Joel Bendera
Wananchi katika eneo la Kibaoni wilayani Mvumero mkoani Morogoro ambao wamekuwa katika heka heka za siku nyingi wakilalamikia ardhi yao kupokonywa na kupewa mwekezaji, leo wanafanya sherehe baada ya ekali 500 kurejeshwa mikononi mwao

Hayo yametibitishwa na uongozi wa mkoa wa Morogoro ambao hivi karibuni umeshuhudia vurugu na vita kali kati ya wakulima, wafugaji na wawekezaji wambao wanatajwa kuteka sehemu ya kilimo na ufugaji

Watu kadhaa waliripotiwa kupoteza maisha kutokana na migogoro ya ardhi mkoani Morogoro katika kipindi cha June hadi octoba mwaka huu


Maoni yetu ardhi kwa sasa haipaswi kusababisha vita, si Tanzania hatulilii ardhi kama wenzetu wa Kenya na Uganda, Nurundi na Rwanda, kinacholeta shida ni kukosekana kwa sera nzuri ya ardhi inayoweza kuongoza matumizi yake na mahitaji ya wananchi hususani wakulima na wafugaji
 
Shukrani kwa : Harold Dickson | Prosper Kwigize | 0752490120
Copyright © 2013. KWIGIZE NEWS AND COMMUNICATION - Haki zote zimeifadhiwa
Email us: kwigizenews@gmail.com
0764243377