Ndugu zangu wasomaji wa mitandao duniani, Ninayofuraha kubwa sana kukukaribisheni sana katika blog hii ambayo nimeianzisha ikiwa na lengo mahsusi kabisa ya kukuhabarisha kukuelimisha na kukuburudisha
katika blog hii, utapata fursa ya kujua nini kimejiri kote duniani tukianzia na hapahapa Tanzania, Afrika ya Mashariki, kwingieko Afrika, Mashariki ya kati, Ulaya, Asia na Amerika
Lengo la Blog hii, itakuwa ni kukuwezesha kupata habari ambazo huenda umezisikia kutoka katika vyombo vingine vya habari, mitandao n.k, [pia ni kukupatia habari ambazo hakika hujapata kuzisikia kokote.
Aidha ukurasa huu utakuwa maalumu kwa ajili ya Wanahabari nguli, wakongwe na chipukizi kuona na kujifunza changamoto mbalimvbali za kihanari, Aidha ukumbi huu utawapa nafasi waandishi wa habari kuweza kuonesha vipaji vyao katika tasnia ya habari mbele ya wasomaji wa kijimbo, kitaifa na kimataifa.
Kwa mawasialiano zaidi nipigie simu namba +255 786 200 518 au niandikie prosperkwigize@gmail.com